Edinburgh ikionekana kwa mbali
Urban Pulse Inawaletea taswira mbalimbali kutoka katika Holyrood Park Edinburgh Scotland.
Asanteni
Urban Pulse Creative
Frank Eyembe akila pozi na Wilfred Moshi mtanzania wa kwanza kupanda Mlima Everest
Frank akishuka milimani
Holyrood Park Edinburgh Scotland
Kwa picha zaidi bofya read more
Jua likiwaka
Kichuguu kilichopo Katika Holyrood Park
Milima iliyopo Edinburgh.
Mojawapo ya vilele vya milima katika iliyopo Holyrood Park.
Uoto wa Asili
manzari ya Holyrood Park Edingburgh










1 comment:
duu mandhari nzuri sana hii na jama wilfred moshi nampa hongera sana je uncle luke unayo contact yake nimpe hongera zake please kama unayo tuwekee please mambo kama haya wa tanzania wanayoyafanya ndo yakuwasifia na kuwapa moyo siyo ya ufisadi
Post a Comment