ANGALIA LIVE NEWS
Monday, October 22, 2012
Ujumbe kwa watanzania wa DMV kutoka kwa Rais wa Jumuiya DMV
Membership Fees and Registrations
- Registration (Membership Card) is $ 15.00
- Subscriptions (Monthly Installments of $10.00 for 12months)
Tuma Check au Money Order:
ATC DMV, P.O.BOX 10398, SILVER SPRING MD 20914
(Tafadhali andika jina lako na address kwenye bahasha ili tukutumie risiti na kadi yako ya uanachama).
Deposit to PNC bank:
Account# 5313293767, Route# 054000030
(Tafadahli mpigie muweka hazina au mwenyekiti pindi ukisha deposit pesa ili tu verify na kukutumia risiti na kadi yako ya uanachama).
Kwa maelezo zaidi tafadhali tembelea: www.watanzaniadmv.org
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
2 comments:
Mbona mnaongelea michango tu na benefits? What about amani na upendo? Inaonekana tangu muintroduce jumuiya na vyama, DMV kumekua na matabaka na hakuna amani na upendo miongoni Mwa Watanzania , jumuiya haijaliona Hilo tatizo hadi muda huu, WHY? Tuelezeni Kama viongozi mna mpango gani kurudisha amani na upendo uliokuepo zamani then tutajoin!
Amani ni jukumu la kila mtu kukataa kufata upepo,mtu anatoka nyumbani kwake unaenda kulewa,kupigana ngumi,watoto mmeacha nyumbani,je dmv viongozi wakufanyeje? Wakufunge kamba? Kama hukufunzwa na wazazi,dunia itakufunza. Kila kulaumu wengine,lini wabongo tutakuwa na self responsibility,discipline kutofuata magroup yasio na maendeleo? Laumu kila mtu sio viongozi.
Post a Comment