Usafiri wa treni katika jiji la Dar Es Salaam umeanza rasmi
1 comment:
Anonymous
said...
Asante Mwakyembe. Jeshi la polisi lisimake kidedea kuzuia na kupambana na waswahili wasiopenda maendeleo wenye tabia ya uharibifu wa miundombinu;kuchorachora,kuchanja siti na viwembe, kunyofoa materials na vyuma nk. Pia mamlaka husika zihakikishe zinadhibiti kikamilifu mapato na matumizi ya uendeshaji maana wabongo ulaji udokozi ufisadi umezidi ndiyo maana hata mashirika ya umma yalikufa hivyohivyo. Ziwadhibiti hao mafilinyeli vinginevyo mradi huo hautachukua raundi kama yalivyokufa mashirika na miradi mingine ya serikali. Pascal Mwalyenga NGARA.

Post a Comment