ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, October 30, 2012

Wedding of Robert & Sherice Mmari held at Stallion Mountain Golf Club, Las Vegas, Nevada

Mama Mmari akimsindikiza Bwana harusi mahali ndoa itakapofungiwa.
Bwana narusi Robert Mmari akimsubiri Bi harusi  Sherice kwenye harusi yao iliyofanyikia Stallion Mountain Golf Club, Las Vegas, Nevada 
Baba wa Bi harusi Mr. Burns (kulia) akimkabidhisha bi harusi Sherice kwa Bwana harusi kabla ya ndoa yao iliyofanyikia Stallion Mountain Golf Club, Las Vegas, Nevada
Mama akisaidiwa kuwasha mshumaa wa kiunganisho
Bwana na Bi harusi wakitambulishwa
Maharusi wakiwasha mshumaa kama ishala ya muungano wao
Maharusi katika picha ya pamoja na wapambe wao
Bi harusi katika picha ya pamoja na wapambe wake
Bwana harusi katika picha ya pamoja na wapambe wake
Mama wa bwana harusi, Mrs. Dekarisa Mmari na maharusi katika picha ya pamoja na maharusi
Kwa picha zaidi bofya read more
Bi harusi katika picha ya pamoja na  wazazi wake, Mr. & Mrs. Burns
Vincent Mmari na familia yake katika picha ya pamoja na maharusi
Hubert Mmari katika picha ya pamoja na maharusi
Muganes katika picha ya pamoja na maharusi
Mchaos katika picha ya pamoja na maharusi
Baby sis Neema katika picha ya pamoja na maharusi
Cleven Mmari katika picha ya pamoja na maharusi
familia ya Mmari katika picha ya pamoja na maharusi
Bwana harusi katika picha ya pamoja na familia ya Mmari, ndugu na jamaa wa karibu na familia.
Familia ya Burnes katika picha ya pamoja na Bi harusi
Bwana na Bibi Mmari katika dansi yao ya kwanza kama mke na mume

No comments: