Hapa bwana Kibodya akimrlsha kipande cha cake mdhamini wa pendo lake, ni baada ya birthday dinner hiyo aliyokuwa amemwandaliwa mke wake kama surprise huko nyumbani kwake.
Mama mwenye nyumba nae alimlisha mzee kipande cha cake, hiyo yote ni mambo ya mapenzi
Hapa mama Kibodya akipata ukodak na marafiki waliokuja kujumuika nae kwenye dinner hiyo









No comments:
Post a Comment