
TANZANIA MUSIC POWER inatambua uwepo wa vyombo vya habari na mchango wao katika tasnia ya muziki,hivyo inawaomba wasanii, wanahabari na wadau wote wa muziki kusaidia katika kuwainua wasanii ambao wamechangia kuuweka muziki wa Tanzania ulipo sasa
Historia ya Buibui ni ndefu sana toka alipo zaliwa mpaka sasa na muda si mrefu TANZANIA MUSIC POWER itatoa kitabu cha maisha ya BUIBUI kuanzia watu aliowahi kushirikiana nao na mpaka kudondoka katika tasnia ya muziki.
BUIBUI amerudi sasa na T.M.P inatarajia kutambulisha wimbo wake mpya ambao utaanza kurushwa hewani rasmi baada ya kumalizika kwa makubaliano ya mwisho na TMP.
Hivyo basi tunapenda kuchukua nafasi hii kuomba watanzania wote kumpokea BUIBUI,tunatanguliza shukrani za dhati kwa watanzania wote.
ahsanteni sana.
No comments:
Post a Comment