Baadhi ya vijana wamepata ajira isiyo rasmi kwa kulangua mafuta aina ya petrol shilingi 5000 kwa litamoja nao wakiwa wengi wao wamechoka na kulala kituoni hapo kusubiri kupata mafuta na kwenda kuyauza kwa bei ya juu
Bei halisi ya mafuta ni hiyo lakini sasa walanguzi bei imepanda kwa aina ya mafuta ya petrol lita moja kwa shilingi 5000 mpaka sh 6000 kwa lita moja
Hiki ndiyo kituo peke kinachouza nishati ya mafuta jijini Mbeya
(Mbeya Yetu)
No comments:
Post a Comment