ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, November 1, 2012

Kanali Ali Mahfoudh

Kanali Ali Mahfoudh ni Mmoja wa Wanajeshi wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania, JWTZ waliotajika sana kwa Miaka hii 50 ya Jeshi letu hili, viza Ushupavu, Ushujaa na Umahiri wake Vitani zikielezewa kwa Vijana na kuwashajiisha wengi kutamani kuingia Jeshini kufuata njia yake njema ya Utumishi wa Kutukuka, Kujituma, Weledi, Ushupavu na Ushujaa.

Akifanya kazi njema ya Ukombozi tokea M
apinduzi ya Zanzibar ambapo vipawa vyake na Umahiri wake Jeshini lionekana mwanzoni tu, japo kwa kuwa naye alisomea Ukomandoo wa Kijeshi Nchini Cuba alihusishwa zaidi na kundi la Makomredi wa Umma Party chini ya Profesa Abdulrahman Mohammed Babu na Mzee Ali Sultan Issa.

Mara baada ya Mapinduzi na kuundwa Muungano wa Nchi za Tanganyika na Zanzibar, Kanali Ali Mahfoudh na wengi wa Makomredi wenziwe waliingizwa

No comments: