Dear Mr. DjLuke,
I am a big fan of Vijimambo blog. I visit daily and may be twice per day.
Yaani naingia kila siku kuona mambo humu. Yaani inafaa sana. Tunakushukuru kwa kazi nzuri.
Tafadhali share the question or was it of consensus on the issue of DMV TZ community meeting held on Oct 12.
Kuna jambo ambalo limenisikitisha sana, labda watu waliipuuzia tu lakini hili ni jambo ambalo
I am questioning the Leaders and people who were in that room that day. Kuna mtu aliyevaa Tee shirt nyeupe yenye matusi kwa wanawake na wasichana.
Huyu mtu alisimama mbele za watu kuongea and was video taped. The tape is now in public viewed by people all over the world. Jamani ni aibu sana.
Hilo shati alilovaa lina maneno na picha ambazo zinahusu wanawake. It said Buttwiser this butts are for you na picha za wanawake watatu in their bikinis.
It was an insult to all women. Was this a part of consensus by the Tz community? I do not think so, because wanawake wachache mle ndani walificha macho na kuinamia chini kwa aibu.
In the room kulikuwepo watoto, wamama wazima, wanaume za watu na heshima zao.
Je hao Leaders waliona wakaruhusu huyu mtu alete biashara ya aina hii ndani ya community? Alikuwa anatangaza. It was a way of solisiting.
Yaani huyu mtu hakuwa na tee shirt nyingine au shati lolote lingine ila hiyo? I don't believe so. Nia ni wazi. Madharau tu. Tena katika zungumza yake alihakikisha
amejigeuza geuza ili maneno kwenye hiyo tee shirt yasomeke kwa wote.
Sincerely,
Roseee
2 comments:
Finally somebody saw it too. Nilikuwa kwenye mkutano na mimi ni mwanamke middle age nimeolewa na nina watoto. Nakubaliana na wewe kabisa that was too insulting jamani kweli watu tunasahau mila na desturi zetu?? Huu ulikuwa ni mkutano wa Watanzania so unategemea kuwa watu watakuwa na sense na kuvaa nguo kutokana na madhari ya mkutano huo. Hatusemi uvae vitenge but try ro be mstaarabu na tunajua kuwa dressing hata kule nyumbani ni kitu muhimu we know that we Tanzanians know how to dress na tukapendeza haya mambo ya kuiga si mazuri jamani tuwaachie hawa watu wasio na mila, na huyu kaka yaani alipogeuka nikasoma 'THIS BUTT IS FOR YOU' OMG nikasema kweli is for me cause was right in front of my face, my daughter anayejifunza kusoma alianza kusoma kwa sauti nikamwambia shhhh shhhh, akasema mama that is a bad word - a kindergatten knows its a bad word but mtu mzima hajui hili?????
jamani acheni kulalamika,kila mtu ana uhuru wa kufanya anavyotaka ili mradi asivunje sheria. sioni sababu ya kumuhukumu ndugu yetu kwa ajili ya kutumia uhuru wake. dunia ya sasa mambo yamebadilika. mnajaribu kumuhukumu kwa junsi alivyovaa,lakini huyu kaka ni mtu anayeheshimu sana wananwake na mke na watoto. na hata maswali yake yalikuwa na msingi wa kujenga jamii. kwa hiyo acheni kuhukumu watu"don't judge the book by it's cover"
Post a Comment