ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, November 21, 2012

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AKUTANA NA BALOZI WA INDIA NCHINI TANZANIA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Balozi wa India Nchini Tanzania, Dednath Shaw, wakati alipofika Ofisini kwa Makamu Ikulu jijini Dar esSalaam, leo Nov 21, 2012 kwa mazungumzo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Balozi wa India Nchini Tanzania, Dednath Shaw, wakati alipofika Ofisini kwa Makamu Ikulu jijini Dar esSalaam, leo Nov 21, 2012 kwa mazungumzo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akipokea zawadi kutoka kwa Balozi wa India Nchini Tanzania, Dednath Shaw, baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika Ofisini kwa Makamu
Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Nov 21, 2012.(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)

No comments: