ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, November 15, 2012

MIAKA 5 YA DIASPORA AFRICAN WOMEN'S NETWORK YAADHIMISHWA, DC

Semhar Araia mmoja ya waanzilishi wa Diaspora African Women's Network (DAWN) yenye makao yake, Washington, DC ambapo leo leo DAWN imefikisha miaka 5 tangu ianzishwe na kulifanyika chakula cha jioni na kutoa tuzo mbalimbali kwa wale wote waliojitolea kuifikisha hapo ilipofikia. na kumuelezea Balozi wa African Union Mhe. Amina Salum Ali kama mfano wa kuigwa, kujituma kwake, kufanyakazi bila kuchoka na kua makini na kazi yake ndipo kulikomfikisha hapa leo kama Balozi wa AU nchini Marekani.
Semhar Araia akimpa tuzo la Honoree of the year Mhe. Amina Salum Ali ambaye ni Balozi wa African Union, nchini Marekani.
Balozi wa Africani Union, Mhe. Amina Salum Ali akiongeamachache huku akielezea ni nini kazi AU nchini Marekani.
Heather Cabral mmoja ya waanzilishi wa (DAWN) akiongea machache kuhusu umoja wao na kazi wanazofanya za kutafuta wadhamini na wafadhili ambao hutoa misaada mbalimbali ya maendelea kwa bara la Africa.
Nicole Peacock akiongea machache.
Ngozi Nmizi ambaye ni mfanyakazi katika ofisi ya mayor wa DC akieleza jambo.
Tina Musoke mwenye asili ya Uganda akiongea machache kwenye sherehe za DAWN zilizofanyika Alhamisi November 15, 2012.
Will Guyster kutoka Massachusetts ambaye shughuli zake nyingi ni kufanya fashion show na kutoa misaada mbalimbali kwenye nchi za Africa ikiwemo Tanzania
Dr. Leslie Nwoke ndiye aliyekua mshehereshaji wa shughuli ya DAWN.
C'elia (kulia) na mdogo wake Heleni ambao ni wasanii wenye asili ya Cameroon wakiimba wimbo kwenye sherehe hizo.
Balozi Amina Salum Ali akipata picha ya pamoja na Reuben Brigety ambaye yeye ni Duputy Assistant Secretary Bereau of African Affairs
kwa picha zaidi ofya read more

No comments: