
Mapou Yanga-Mbiwa
Mchezaji Mapou Yanga-Mbiwa ni mchezaji mfaransa anaechezea timu ya Montpellier inayocheza daraja la kwanza nchini Ufaransa.
Mapou Yanga-Mbiwa alizaliwa 15 May, 1989 mji wa Bangui, Afrika ya Kati na alihamia ufaransa akiwa bado kinda.
Alijiunga na timu ya watoto ya Montpellier mwaka 2005 na 23 February 2007 alicheza mechi yake ya kwanza kama mchezaji wa kulipwa na kucheza kwa dakika zote 90.
Mapou Yanga huvaa jezi nambari 3 humudu namba zote za nyuma na kiungo mkabaji.
No comments:
Post a Comment