
Rafael Banitez
Chini ya saa 24 baada ya kocha wa Chelsea Roberto Di Matteo kufukuzwa kazi Chelsea, Kocha wa zamani wa Liverpool Rafael Banitez ametajwa kua ndiye atakaekua kocha mpya wa timu hiyo ya darajani ambayo Jumapili hii itashuka dimbani kukipiga na Man City kwenye ligi kuu ya Uingereza inayoenele hizi sasa.
Mpambano uliomfukuzisha kazi Di Matteo ni mechi ya UEFA kati ya Chelsea na Juventus ambayo Chelsea ilichapwa bao 3-0.
No comments:
Post a Comment