ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, November 13, 2012

PITA PITA YA VIJIMAMBO MICKLETON NJ

 Hapa ni C.E.O Temba Engineering akiwa maheneo ya mji wa Mickleton, NJ walikoenda kufix mashine za kutengezea Sausage baada ya kukorofisha. Hapa wakipata ukodak baada ya kumaliza kufix na kuacha mashine ikichapa mzigo sawa sawa baada ya tatizo kutatuliwa chini ya Temba Engineering.
 hapa ni supervisor wa kiwanda akipata ukodak baada ya mashine yake kukamirika na kurizika na kazi
 Hapa Tech wa Temba Engineering akiweka  sawa vitendea kazi, kikazi zaidi
Sausege tayari baada ya mashine iliyokuwa imekorofisha kutengenezwa na kujaribiwa, Hiyo ndo kazi ya Temba Engineering ya Brooklyn, NY. 

No comments: