ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, November 3, 2012

PITA PITA YA VIJIMAMBO NEW YORK CITY

Baada ya Mayor wa New York Bloomberg  Kucancel New York Marathon, wakimbiaji wa mbio ndefu kutoka Kenya wakutana na Bolozi wa Kenya kwenye Dinner aliyowaandalia wakimbiza upepo hao maarufu kabisa. Hapa ni picha za wakimbiaji hao kuanzia kushoto ni bingwa wa mbio ndefu duniani  ambae amevunja record ya dunia kwa kukimbia  kasi Geoffrey Mutai , anayefuata ni Wilison Kipsang aliyeshinda London Marathon mwaka jana, anayefuata ni Balozi wa Kenya Mission New York Mh. Macharia, anayefata baada ya balozi ni Martin mkimbiaji nae wa mbio ndefu, Biwott na wa Mwisho ni 
Mh Elkanah Odembo ambe ni balozi wa Kenya kutoka DC.   
 Hapa watu wakipata nafasi ya kubadilishana mawili matatu baada ya dinner hiyo
 Mh. Balozi Odembo akiteta na wakimbiaji hao
 Wilison katikati kutoka Boston akipata ukodak na wakimbiza upepo hao 
 Hapa ni Gerald ambae alijitolea ukumbi wa  New York boardroom   ambako kulifanyika dinner hiyo akipata ukodak na wakimbia hao wa mbio ndefu kutoka Kenya
 Mtoto wa Mh. Balozi Odembo na rafiki yake wakipata ukodak na wakimbiaji
Picha ya pamoja kabla ya kundoka kwenye dinner hiyo
Kenyan Ambassador to USA Elkanah Odembo , Geoffrey Kiprono Mutai and Ny Ebra,
 Hapa ni Edina mkimbiaji nae kutoka Kenya akipata Ukodak na Mh Balozi Odemba

1 comment:

Anonymous said...

Haya tena jamani, mbona hamkumtafuta kijana wa TANZANIA ambaye naye yuko hapo kwa mbio hizo zilzoahirishwa?? (Nelson Mrashani kutoka Arusha)
Nyie ovyo kweli !!!