Hapa watu wakipata nafasi ya kubadilishana mawili matatu baada ya dinner hiyo
Mh. Balozi Odembo akiteta na wakimbiaji hao
Wilison katikati kutoka Boston akipata ukodak na wakimbiza upepo hao
Hapa ni Gerald ambae alijitolea ukumbi wa New York boardroom ambako kulifanyika dinner hiyo akipata ukodak na wakimbia hao wa mbio ndefu kutoka Kenya
Mtoto wa Mh. Balozi Odembo na rafiki yake wakipata ukodak na wakimbiaji
| Picha ya pamoja kabla ya kundoka kwenye dinner hiyo |
| Kenyan Ambassador to USA Elkanah Odembo , Geoffrey Kiprono Mutai and Ny Ebra, |
Hapa ni Edina mkimbiaji nae kutoka Kenya akipata Ukodak na Mh Balozi Odemba
1 comment:
Haya tena jamani, mbona hamkumtafuta kijana wa TANZANIA ambaye naye yuko hapo kwa mbio hizo zilzoahirishwa?? (Nelson Mrashani kutoka Arusha)
Nyie ovyo kweli !!!
Post a Comment