ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, November 11, 2012

RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA MAKAO MAKUU YA CCM DODOMA

Mchoro unaoonyesha Makao Makuu mapya ya CCM yatakavyokuwa Dodoma

Rais wa Zanzibar akiwasili eneo ambalo jiwe la msingi la ujenzi wa Makao Makuu ya Chama litajengwa

Rais Jakaya Mrisho akipokea hati ya kiwanja kutoka kwa Mwenyekiti wa Bodi ya CDA William Lukuvi katika sherehe za uwekaji wa jiwe la msingi la ujenzi wa Makao Makuu ya Chama cha Mapinduzi.

No comments: