SHEREHE ZA UHURU WASHINGTON STATE
Watanzania wote wa Washington State,
mnaalikwa kwenye sherehe za uhuru zitakazofanyika Dec. 8, 2012 (Saturday) kuanzia saa 12 jioni (6:00PM) hadi saa sita
usiku (12:00PM).
MAHALI: 411 156th AVE NE Bellevue WA 98007
BURUDANI: DJ Haroub atashusha Disco la kufa mtu. Pia kutakuwa na
MAHALI: 411 156th AVE NE Bellevue WA 98007
BURUDANI: DJ Haroub atashusha Disco la kufa mtu. Pia kutakuwa na
kikundi cha sanaa
kutoka University of Washington
kitakachoonyeshaonyesho
la ngoma za Tanzania.KIINGILIO: Bureeeeeeeee
CHAKULA : Bureeeeeeee
VINYWAJI: Soda ($1), maji ($1), vinywaji vikali ($2 na kuendelea)
MUHIMU: 1) Tafadhali alika mtu yeyote. Hizi sherehe ni za watanzania wote (wanachama na wasio wanachama), alika marafiki pia (2)Wahi ili usikose chakula (3) Kutakuwa na vitu vya kitanzania vitakavyouzwa ukumbini, tafadhali njoo ununue ili kuichangia jumuiya.

No comments:
Post a Comment