ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, November 10, 2012

RAIS KIKWETE AFUNGUA KIKAO CHA KAMATI KUU NA NEC JIONI YA LEO DODOMA

Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi,Nape Nnauye akipiga gitaa na kuimba kwa umakini muda mfupi kabla kikao cha Kamati kuu na NEC hakijafunguliwa.
Rais Jakaya Kikwete akivishwa skafu na chipukizi wa Chama Cha Mapinduzi mara tu alipowasili Makao Makuu ya Chama mjini Dodoma leo tayari kwa kikao cha
Kamati Kuu na NEC

No comments: