Rais Kikwete akiteremka kwenye ndege baada ya kuwasili Dodoma leo.
Rais Kikwete akisalimiana na Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye mara alipowasili Dodoma leo
Rais Jakaya Kikwete akiwa na Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Pius Msekwa mara alipowasili Dodoma leo tayari kwa Mkutano Mkuu wa CCM utakaoanza tarehe 11 mpaka tarehe 13 Novemba katika ukumbi wa Kizota Dodoma.
No comments:
Post a Comment