Jeshi la polisi likimpakia kwenye gari mtuhumiwa ambaye jina lake halkuweza kufahamika mara moja aliyetuhumiwa kwa kumtapeli kijana mmoja shilingi laki 2 alipokwenda kutoa pesa kwenye mashine ya ATM makao makuu ya benki ya Posta yalioko barabara ya azikwe jijini Dar es salaam.
Baadhi ya wakazi wa jiji la Dar es salaam wakiwa makao makuu ya benki ya Posta kushuhudia tukio hilo.
PICHA NA PHILEMON SOLOMON WA FULLSHANGWE

No comments:
Post a Comment