Johnson Mzava ambae Jumamosi November 3, 2012 alizindua CD yake kwa mara ya kwanza katika historia yake ya muziki wa injili, Johnson Mzava ni mwanamuziki mwenye historia ndefu katika anga la muziki wa injili ameishatengeneza midundo za albam za wanamuziki mbalimbali Tanzania na hapa Marekani, kama vile Rose Mhando na wengine wengi.
Mke wa Johnson akifuatilia uzinduzi wa CD ya mumwewe ambao ulishirikisha vikundi mbali mbali vya dini ambavyo vilipamba uzinduzi huo uliofanyikia College Park, Maryland.
Mchungaji akiongea machache ya jinsi alivyomfahamu Johnson Mzava.
Juu na chini ni washereheshaji waliokua kwenye uzinduzi wa CD ya Johnson Mzava picha juu wakielezea wasifu wa Johnson na picha chini wakijadili jambo mshereheshaji aliyevaa gauni la bluu alikua akiongea kwa kiingreza na gauni la zambarau akitafsili kwa kiswahili.
Mashabiki wa Johnson Mzava wakifuatilia uzinduzi huo.
Juu na chini ni kikundi cha dini cha Ebenezer AME church kikitoa burudani iliyokua sehemu ya uzinduzi wa CD ya Johnson Mzava.
Vijana wakiwa kazini katika kurusha Live Uzinduzi wa CD ya Johnson Mzava uliofanyika Jumamosi November 3, 2012 College Park.
Kwa picha zaidi bofya read more
No comments:
Post a Comment