ANGALIA LIVE NEWS

Monday, November 12, 2012

TASWIRA ZA MKUTANO WA NANE WA CCM MJINI DODOMA JANA

John Magale Shibuda akimsikiliza kwa makini Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye ndani ya ukumbi wa Kizota, kwenye mkutano mkuu wa nane wa Chama Cha Mapinduzi.
Mama Maria Nyerere (wa nne kushoto) na Mama Anna Mkapa (wa tatu kushoto) wakifuatilia mkutano huo wa nane wa CCM.

Wajumbe kutoka mkoani Mbeya wakionyesha ukakamavu wao ndani ya ukumbi wa Kizota mjini Dodoma.
Viwanja vya Kizota vikiwa vimefurika wajumbe na wanachama wa Chama Cha Mapinduzi.
Vyakula vya aina mbalimbali vinapatikana katika mkutano huo.

No comments: