ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, November 15, 2012

TAWI LA CCM DMV LAPATA LUNCH NA MWENYEKITI WA CCM MHE. DKT. JAKAYA M. KIKWETE, IKULU DODOMA

MWENYEKITI WA CCM TAIFA MHE.DKT. JAKAYA M. KIKWETE NA MAMA SALMA KIKWETE WAKIPATA UKODAK NA WANA CCM DIASPORA 
MWENYEKITI WA CCM TAIFA MHE.DKT. JAKAYA M. KIKWETE NA MWENYEKITI WA CCM DMV LOVENESS MAMUYA
MWENYEKITI WA CCM TAIFA MHE.DKT. JAKAYA M. KIKWETE NA KATIBU MWENEZI WA CCM DMV BENJAMIN MWAIPAJA
MWENYEKITI WA CCM TAIFA MHE.DKT. JAKAYA M. KIKWETE NA MJUMBE WA CCM DMV PHANUEL PETER LIGATE
MWENYEKITI WA CCM TAIFA MHE.DKT. JAKAYA M. KIKWETE NA MJUMBE WA CCM DMV FARAJA ISINGO
MWENYEKITI WA CCM TAIFA MHE.DKT. JAKAYA M. KIKWETE NA MJUMBE WA CCM DMV ELIZABETH LUHANGA


6 comments:

Anonymous said...

Ebu naomba nifaamishwe wana DMV,ivi Loveness safari yako umejiwezesha au umewezeshwa ni kiimaanisha kwamba Ticket yako umejikatia mwenyewe au ni mfuko wa wan DMV CCM ndo wamekuchangia??Manake safari Moja uanzisha nyingine ,Tusije Tukasikia kesho unaomba uchangiwe kwenda Afghanistan kufungua tawi la CCM.

Anonymous said...

Haya bwana tunaona Kodi za wana CCM- DMV zinavyofanya kazi,

Anonymous said...

loveness na Ligate naona mnasafiri na michango ya wakina DJ luka waliowachangia kwenye Tawi la CCM-DMV.Dj usibanie comment

Anonymous said...

acheni wivu wapongezeni hongera gwakukaja bennja na wote hapo kwenye picha

Anonymous said...

Roho zinawauma wakaanga sumu, badala ya kujali utakula nini nyumbani kwako au utalipa vipi bills mko busy kujali fulani kaendaje kwenye mkutano wa CCM bongo. Majungu hayajengi nyie ongeeni wenzenu wanachapa kazi na pamba wamejaza masikioni wanaendeleza ujenzi wa taifa tu. Kwa mentallity hii ya ma anony hapo juu wabongo tutaendelea kuwa maskini siku zote. Jiulizeni maswali mkichoka mtajijibu ila ndio washaenda bongo, poleni! Mlipaji ticket hainihusu maana hizo fweza za ticket hazijatoka kwenye bank account yangu na naamini hata wewe anony haijatoka kwako. Cha muhimu waje watueleze yaliyojiri mkutanoni maana ndio kazi ya wawakilishi.

Anonymous said...

Hao kina ligate wameanza kwenda bongo leo? Siku zote wanavyoenda kwenye safari zao binafsi mbona hamuulizi nauli wamepata wapi? Msijali tutawachangia na nyie nauli za Metro kwenye mkutano ujao wa CCM