mwenyekiti wa AUC Commission Mhe. Dr. Nkosazana Dlamini Zuma akiongea machache kwenye chakula cha jioni alichoandaliwa na Ubalozi wa African Unioni, Washington, DC kwenye Hotel ya Willad Intercontinental iliyopo 1401 Pennsylvania Avenue, Jijini Washington.
Balozi wa kudumu wa African Union Mhe. Amina Salum Ali akiongea machache na baadae kumkaribisha mgeni rasmi
Balozi Mclanne Verveer kutoka State Department akiongelea kuhusu uhusiano wa Marekani na Africa unavyokua siku hadi siku katika nyanja mbalimbali.
Dr. Elizabeth Lule kutoka World Bank akiongea machache.
Dr. Gloria B. Herndon anaetokea sekta binafsi akieleza jambo.
Bishop Kemi Onanuga akifungua Hafla hiyo kwa maombi
Julianne Malveaux ndie aliyekua mshereheshaji kwenye hafla hiyo.
Mhe. Dr. Nkosazana Dlamini Zuma akimsikiliza Balozi Amina Salum Ali wakati alipokua kiongea kwenye chakula cha jioni alichoandaliwa kwenye hotel ya Willard Intercontinental hafla iliyofanyika Jumatano November 28, 2012.
Wageni waalikwa wakiwemo waheshimiwa mabalozi mbalimbali wanao wakilisha nchi zao nchini Marekani
kwa picha zaidi bofya read more
No comments:
Post a Comment