ANGALIA LIVE NEWS

Monday, November 5, 2012

Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano was Tanzania Watoa Maoni Yao Kuhusu Katiba Mpya

Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akizungumza kabla ya kuanza kwa mkutano wa kukusanya maoni ya Wabunge kuhusu Katiba Mpya mjini Dodoma juzi Jumamosi, Novemba 3, 2012. Kushoto kwake ni Mwenyekiti wa Tume Jaji Joseph Warioba, Makamu wake Jaji Augustino Ramadhani na Katibu wa Tume Bw. Assaa Rashid.
Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Jaji Joseph Warioba akiongea kabla ya kuanza kwa mkutano wa mkutano wa kukusanya maoni ya Wabunge kuhusu Katiba Mpya mjini Dodoma juziJumamosi, Novemba 3, 2012. Kulia kwake ni Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda na kushoto ni Makamu wake Jaji Augustino Ramadhani na Katibu wa Tume Bw. Assaa Rashid.
Mbunge wa Bunda na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Uhusiano) Mhe. Steven Wassira akitoa maoni yake kuhusu Katiba Mpya katika mkutano huo.
Mbunge wa Dole Mhe. Sylvester Mabumba akitoa maoni yake kuhusu Katiba Mpya katika mkutano huo.
Mbunge wa Kigoma Kaskazini(CHADEMA)Mhe. Zitto Kabwe akitoa maoni yake katika mkutano huo.
Meza kuu ilivyokuwa katika mkutano huo. (Dodoma Yetu)

No comments: