ANGALIA LIVE NEWS

Monday, November 5, 2012

Wabunge wapendekeza Mawaziri wasiwe Wabunge


Baadhi ya Wabunge wametaka nafasi za mawaziri ziwe za wataalam zaidi wanaoteuliwa na rais kutoka nje ya bunge ili kutoa fursa kwa wabunge kuwahoji bila ya kuoneana haya.

No comments: