ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, December 22, 2012

BABA YETU MPENDWA MZEE MWANDEMANI AAGWA SPRINGFIELD TAYARI KWA KUSAFIRISHWA MWILI WAKE KWENDA TANZANIA

 Dj Rich akiwa na familia yake watoto na mdhamini wa pendo lake pembeni, katika msiba mkubwa wa baba yake mzazi.
Richard Mwandemani mtoto wa marehemu akitoa shukurani zake kwa ndugu na marafiki katika siku hii ya kuaga mwili wa baba yake mpendwa mzee Mwandemani
 Mtoto wa Richard akiongea siku hiyo ya kuaga mwili wa babu yake, siku aliyofariki ilikuwa birthday ya mjuu wake huyu ambae kachukua jina la babu yake.
 Mr Saburi Eliamin alikuwa msemaji mkuu wakati wa kuaga mwili wa mzee Mwandemani
 Hapa wakiongoza  kuimba wimbo wa kinyakyusa kama heshima kwa mzee Mwandemani
 Mkuu wa wilaya ya Springfield bwana Isaac Kibodya akiongea wasifu wa mzee Mwandemani.
 Mama huyu alikuwa ndani ya ndege moja na mzee Mwandemani kutoka Tanzania hadi Marekani nae aliongea jinsi alivyoweza kuenjoy company yake wakiwa ndani ya ndege na alivyo sikia kifo chake aliguswa na alikuja kuaga mwili wake na kupata fulsa ya kuongea machache.
Mzee huyu alisoma shule ya msingi na mzee Mwandemani na yupo hapa Marekani alikuja kumtembelea mtoto wake na alivyo sikia kifo cha school mate wake aliguswa na alikuja kuaga mwili na kuongea machache jinsi alivyo mfahamu Mzee Mwandemani
 Bwana Isaac Kibodya akipata picha ya pamoja na Dj Rich katikati na kushoto kwa Rich ni mdhamini wa pendo lake na marafiki wengine.
 Brother Akida wa kulia kutoka New Jersey akiwa na swahiba wake nao walikuwepo katika msiba huo.

 Ndugu, jamaa na marafiki waliungana na Dj Rich katika kuuaga mwili wa baba yake mzazi mzee Mwandemani funeral home, kwa picha zaidi bofya read more


1 comment:

Anonymous said...

R.I.P Mzee Mwandemani,tutakukumbuka daima! Soo sad:-(