ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, December 22, 2012

Misa ya kuuaga mwili wa marehemu Lavius Kalemera itakuwa tarehe 26/12/12.

Misa ya kuuaga mwili wa marehemu Lavius Kalemera itakuwa tarehe 26/12/12. Misa itakuwa kuanzia saa 4 asubuhi mpaka tano asubuhi. Na Viewing itakuwa. Saa tano mpaka saa Sita mchana. Address ni. .
Marvil Funeral Home. 1110 Main st. PA 19023. 
Simu ni 
Baada ya hapo tutakutana nyumbani nyumbani kwa marehemu kwa ajili ya chakula cha mchana. Address. 
356 Greenwood rd. Sharon Hill PA. 19079. 
Simu 
4843185050

No comments: