Saturday, December 22, 2012

WANADMV WAMUAGA MZEE KOMBE


 
Juu na chini ni jeneza lililobeba mwili wa marehemu Mzee Kombe likiingizwa kanisani kwenye misa ya kumuaga iliyofanyika leo katika kanisa la St. Camillus lililopo Silver Spring, Maryland. Marehemu anatarajiwa kuzikwa siku ya Alhamisi December 27, 2012 mkoani Kilimanjaro.


Padri Shao akiongoza misa ya kumuaga Mzee Kombe iliyofanyika katika kanisa la St Camillus lililopo Silver Spring, Maryland kulia ni George Kombe
Margareth Kombe akisoma somo
Balozi wa Tanzania nchini Marekani na Mexico Mhe. Mwanaidi Maajar akiwa na mumewe Bw. Shariff Maajar wakijumuika na WanaDMV kwenye misa ya kumuaga Mzee Kombe iliyofanyika leo St. Camillus Church.

Familia ya Kombe ikiwa kanisani

Mhe. Balozi akiwa na mumewe wakitoa mkono wa pole kwa wafiwa
kwa picha zaidi bofya read more
 

 

 





1 comment:

baraka daudi said...

Baba umetutoka,haupo nasi kimwili lakini kiroho upo nasi daima. Mungu Ailaze roho yako mahali pema peponi. Amina