Thursday, December 27, 2012

BUSH ALAZWA CHUMBA CHA WAGONJWA MAHUTUTI

George H. W. Bush - Mitt Romney Receives Endorsement From Former President George H.W. Bush
Aliyekua Rais wa Marekani, George H. W. Bush amelazwa chumba cha wagonjwa mahututi kwenye hospitali ya Houston, Texas alipokua amelazwa tangia November 23, 2012.

George H. W. Bush, 88, amesherehekea sikukuu ya Xmas hospitalini hapo na amaekua akisumbuliwa na kukohoa kunakoambatana na homa zilizopelekea kushindwa kula na Daktari wake kuamua kumpa chakula kwenye drip kilichowekwa virutubisho vinavyohitajika kwenye mwili wake.

No comments: