ANGALIA LIVE NEWS

Monday, December 24, 2012

CHRISTMAS NA MWAKA MPYA NI KIPINDI CHA NEEMA KWA WASAFIRI WA MABASI YA MIKOANI KUTOKA NDANI YA JIJI LA DAR-ES-SALAAM


Abiria waliokuwa wanategemea kusafiri na Basi la Saibaba kuelekea mkoani Arusha wakisubiri kupanda katika Kituo Kikuu cha mabasi ya Ubungo 
Hawa ni wakatisha tiketi wa Kituo Kikuu cha mabasi Ubungo Dar es Salaa wakigombania abiria kwa ajili ya kuwakatia tiketi

No comments: