Wednesday, December 26, 2012

Erica Lulakwa Azindua Kampeni ya Kurekodi Albamu yake ya Kwanza

Mtanzania Erica Lulakwa amezindua kampeni yake kupitia tovuti ya Indiegogo kwa ajili ya kurekodi albamu yake ya kwanza ambayo itarekodiwa na produza wa kimataifa Andre Manga. Produza Manga ameshafanya kazi na wanamuziki maarufu kama Angelique Kidjo na Josh Grobin washindi wa Grammy Award. Erica anahitaji kufikia watu wengi duniani ili kufanikisha lengo lake.

Kwa maelezo zaidi na zawadi mbalimbali bonyeza:

No comments: