Saturday, December 22, 2012

GODBLESS LEMA APATA MAPOKEZI YA KIHISTORIA JIJINI ARUSHA

Na Mroki Mroki, Arusha
MAPOKEZI ya Kihistoria katika jiji la Arusha yamefanyika leo wakati wafuasi, Mbunge wa Arusha Mjini kwa Tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Godbless Lema walipo miminika kwa Wingi kuanzia Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) hadi katika Viwanja vya Kilombero mjini hapa alipohutumia maelfu ya wana CHADEMA Arusha Mjini.
Mapokezi yahoo yamefanyika wakati Godbless Lema alipokuwa akirejea mjini Arusha akitokea jijini Dar es Salaam kusikiliza hukumu ya Rufani ya Keshi yake ya Kuvuliwa Ubunge iliyotolewa maamuzi ya kumrtejeshea Ubunge wake Desemba 21,2012

Maelfu ya wananchi wakiwa katika msafara mrefu zaidi ya pikipiki 500 na magari ulianzia Uwanja wa Ndege KIA mara baada ya Mbunge huyo kuwasili uwanjanai hapo majira ya saa 4:20 Asubuhi.
Wafuasi wa Lema wakishangilia barabarani wakati Mbunge huyo akipita.
Mbwembwe za waendesha pikipiki wengine ziliwashinda na kuanza kuanguaka.
Furaha hiyo ilikuwa kwa kilu aliye Mwanachadema
Skafu na vitru mbalimbali vilivyo na alama ya CHadema viliuzwa jijini Arusha kwa wingi.
Mke wa Mbunge Godbless Lema akiwa kwenye gari pamoja na mtoto wao wakati wa mapokezi hayo.
Lema Arusha anafananishwa na Barack Obama

kwa picha zaidi bofya read more
Watu walining'inia katika magari bila hofu
Huyu na e'eti' alikua anachukua kumbukumbu za Video....
Lemna akiwa na Mbunge wa Arumeru Mashuari CHADEMA, Joshua Nasari.

1 comment:

Anonymous said...

HAYA NI MATUSI KWA JUHUDI ZA KUPAMBANA NA MFUMO DUME AMBAO HAUNA CHAMA CHA SIASA INAPOFIKIA UWEZO WA KUBWABWAJA SIASA UNAINGILIA MHIMILI WA MAHAKAMA HUKO KWENYE MAHAKAMA YA AFRIKA MASHARIKI,AFRIKA NA DUNIA UWEZEKANO WA MAJAJI WA TANZANIA KUPATA AJIRA NI SIFURI JE WAKO WANAWAKE WALIOJITITIMUA KUSHEREHEKEA LABDA MA SHE-MALE JE KWAMTINDO HUU UPO UWEZEKANO WA TANZANIA KUFIKIA ASILIMIA 50 KWA 50 KATIKA JINSIA AU MWANAMKE KUWA RAIS TANZANIA AIBU TUPU