Monday, December 24, 2012

HAPPY BIRTHDAY

Asya Idarous Khamsin
Timu ya Vijimambo inakutakia kheri ya siku ya kuzaliwa na kukuombea mwaka 2013 uwe wa mafanikio zaidi, wewe ni kioo cha jamii, wengi wamejifunza na kuiga toka kwako

No comments: