Baiytul Ajaib “House of Wonders” lilivyoathirika
Gari likiwa limeangukiwa na kifusi cha sehemu ya jengo lililoporomoka
Sehemu ya jengo la makumbusho liliporomoka kama linavyoonekana
Makamu wa Rais akipata maelezo jinsi jumba lilivyoanguka
Makamu wa Rais wa Kwanza wa Zanzibar Maalim Seif Shariff Hamad akiwa haamini alichokiona hapo Jumba la Maajabu, Forodhani
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad akisikiliza maelezo kutoka kwa Waziri wa Habari, Utamaduni na Michezo Said Ali Mbarouk (mwenye fulana), kuhusiana na kubomoka kwa jengo la makumbusho kuu ya Zanzibar
(Picha na Salmin Said, OMKR)
1 comment:
Wanausalama wa znz fanyeni kazi yenu vizuri... Makamu wa raisi hakupaswa kuwa karibu kihivyo na hiyo pikipiki...
Post a Comment