ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, December 12, 2012

KUMBUKUMBU YA MPENDWA MAMA YETU

Ni 2 Yearz Sasa Ni Usiku Ambao Sitausahau In Ma Life...Nlitoka Zanzibar To Dar Bila Kujielewa Usiku Na Nikafika Dar Usiku Saa 3 Tar Kama Ya Leo Nikajaribu Kwenda Spitali Lakini Mda Wa Kuona Wagonjwa Ulikuwa Umekwisha Lakini Baada Ya Kugombana Sana Wa Mlinzi Nliweza Kupewa Ruksa Kwa Dakika 2 Tu Na Mda Huo Ulinitosha Kabisa Kusema Gbye 2 My Mom...Aliniangalia Sana Alikuwa Amechange Sana,Then Alikuwa
Analia Machozi Wakati Ananiangalia Sikujua Kwanini Bt Kiutu Uzima Nlijua Kipi Kita Happen,Then Alishindwa Niangalia Kabisa Usoni Na Kugeuka Upande Mwengine,Nlimwambia Ma Wife Kuwa Hali Ya Mom Si Kawaida Lazma Awe Strong Coz Yeye Ndio Alikuwa N Mgonjwa Spitali....Nlirudi Home Nikapiga Simu Kwa Bros Na Watu Tofauti Kuwa Lazma Tujiandae Then Saa 10 Kwenda 11 Alfajiri Wife Alipigia Simu Na Kuniambia Mama Amepelekwa Theatre & Baada Dk 10 Nikapata Simu Nyengine Kuwa Mom Hatuponae Tena.....Ohhh Allah Msamehe Dhambi Zake Ma Mom,Muondoshee Adhabu Ya Kaburi Pia..Me & Ma Family We Like 2 Say That...R.I.P Mom...We Love U More & More Still....Inaniuma Sana Siwezi Kusahau.

2 comments:

Anonymous said...

Pole sana mzee, msg yako inatia uchungu sana.kwa kuwa najua maumivu uliyonayo.Maana mimi pia sina mama tena.RIP mama

Anonymous said...

Pole sana mpendwa Mwenyezi Mungu akupe nguvu, na pia tunamuombea apumzike kwa amani...!!
Mdau hapo juu pole pia,R.I.P wote waliotutangulia