Mhudumu wa chumba cha kuhifadhia maiti hospitali ya Mkoa Singida, akirekebisha mapambo ya jeneza lililokiwa na mwili wa marehemu Munchari Lyoba, mwanafunzi wa SUA , jeneza lililovunjwa na majambazi na maiti kupekuliwa yakitafuta fedha zaidi baada ya kupora wasindikizaji.
Picha na Gasper Andrew

No comments:
Post a Comment