Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimsalimia, Hamid Ameir
Ali, ambaye ni Waziri Mstaafu na Mjumbe wa Baraza la
Wawakilishi Zanzibar, wakati alipofika kumjulia hali katika Hospitali
ya Mnazi Mmoja mjni Zanzibar jana Desemba 20, 2012, alikolazwa
kutokana na kusumbuliwa na maradhi ya malaria na Kifua |
No comments:
Post a Comment