ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, December 6, 2012

MAKAMU WA RAIS DKT GHARIB BILAL AKUTANA NA WATANZANIA 3 KATI YA 7 TU WAISHIO MEXICO



Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na Watanzania 3 kati ya saba tu, (wawili kushoto) na mmoja (kulia) wanaoishi nchini Mexico, baada ya kukutana nao na kufanya mazungumzo, wakati akiwa nchini humo hivi karibuni. Nchi hiyo inawatanzania saba wanaoishi nchini humo na kufanya shughuli zao, ambapo hadi sasa wamebakia watanzania 3 baada ya wanne kujisapia kusikojulikana na wenzao hao.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal na mkewe Mama Asha Bilal, wakiwa katika picha ya pamoja na Watanzania 3 kati ya saba tu (wawili kushoto na mmoja kulia) wanaoishi nchini Mexico, baada ya kukutana nao na kufanya mazungumzo, wakati akiwa nchini humo hivi karibuni. Nchi hiyo inawatanzania saba wanaoishi nchini humo na kufanya shughuli zao, ambapo hadi sasa wamebakia watanzania 3 baada ya wanne kujisapia kusikojulikana na wenzao hao. Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais

1 comment:

Anicetus said...

In 1976, the Government of Mexico in collaboration with France and Chile sponsored African students from Tanzanian, Senegal and Mali to study Industrial Engineering and Civil Engineering. In 1980, after the Tanzania war with Uganda, the government of Tanzania had financial difficulties in fowling up those students (all over the world) who had completed their studies to go back home to contribute in nation building. Unfortunately, the students who studied in Mexico were left in this country without relatives or Tanzania government support. Some are working on their own business. One passed away, other moved to some of united sates of Mexico, Canada and United States of America. The left in the Picture is Ing. Epimaki Ngowi, now own owns a construction Business- Tanzamex. Long story to tell!!

Temba