Advertisements

Sunday, December 2, 2012

MISS AFRICA USA PAGEANT 20 WATINGA FAINALI AKIWEMO MISS TANZANIA

Bi Sandra akiisherehesha Miss Africa USA Pageant iliyofanyika Jumamosi December 1, 2012 Capitol heights, Maryland, nchini Marekani na Ma-Miss 20 akiwemo Miss Tanzania kuweza kufaulu katika hatua ya  fainali itakayofanyika June 22, 2013 itakayowezesha kumpata Miss Africa USA Pageant. Nchi mbalimbali za Afrika ziliweza kuwakilishwa vilivyo na Ma- Miss wao na nchi  nyingine zikiwakilishwa na Ma-Miss zaidi ya mmoja na waliweza kuchujwa na kubakizwa mmoja aliyefuzu kwa hatua ya nusu fainali. Ma- Miss wengine waliofuzu kuingia nusu fainali ni Miss Kenya, Miss Uganda, Miss Angola, Miss Ethiopia, Miss Egypt, Miss Nigeria, Miss Sudan ya Kusini, Miss Ghana, Miss Burkina Faso, Miss Liberia, Miss Sierra Leone, Miss Ivory Coast, Miss Malawi, Miss Zimbabwe, Miss Gambia,  Miss D. R. Congo, Miss Cameroon, Miss Mali na Miss Guinea.
Mshindi wa Miss Africa USA Pageant 2011-12 Miss Cameroom akipata ukodak moment
Miss Tanzania Maggie Munthali akipita mbele ya majaji
Miss Uganda
Miss Kenya
Miss Egypt
Miss Sierra Leone
Kwa picha zaidi bofya read more

Miss Ivory Coast
Miss Zimbabwe
Miss Angola
Mmoja kati ya Ma-Miss Burkina Faso ambae hakufuzu 20 bora
Miss D.R. Congo

Mmoja kati ya Ma-Miss Liberia ambaye hakufuzu 20 bora
Miss Liberia
Mmoja kati ya Ma-Miss Liberia ambaye hakufuzu 20 bora.
Miss Mali
Mmoja kati ya Ma-Miss Mali ambaye hakufuzu 20 bora
Mmoja kati ya Ma-Miss Nigeria ambaye hakufuzu 20 bora.
Miss nigeria
Miss Gambia
Miss Guinea
Mmoja kati ya Ma-Miss Kenya ambaye hakufuzu 20 bora
Juu na chini Ma-Miss waliofuzu 20 bora katika picha ya pamoja na Miss Africa USA 2011-12
Mratibu wa Miss Africa USA akiongea jambo
Ma-Miss 20 bora katika picha ya pamoja na Miss Africa USA 2011-12
Juu na chini Ma-Miss 20 bora katika picha ya pamoja.

Ma-Miss wakipita mbele ya majaji 


Ma-Miss kutoka miji na nchi mbalimbali waliokuwemo ndani ya kinyang'anyiro cha kumtafuta Miss Africa USA wakitambulishwa kwa mashabiki kutoka kushoto ni Miss Africa New York, Miss College Park, Maryland, Miss Ghana, Miss District Of Columbia (DC) na Miss Sierra Leone
Ma-Miss Ethiopia wakipita mbele ya majaji
Juu na chini Ma- Miss wakijitambulisha
Wadau waliofika kushuhudia kinyang'anyiro cha Miss Africa USA wakipata Ukodak Moment.
Wadau mbalimbali waliofika kwenye Miss Africa USA
Wadau wakipata picha ya pamoja
Wadau wakipata picha ya pamoja wakiwa na Miss wao waliokuja kumuunga mkono.
Ma-Miss Ivory Coast na Cameroon wakipata picha ya pamoja na mdau wao.
Ma-Miss Ghana kwenye ukodak moment
Juu na chini ni wadau wakifuatilia mchujo wa 20 bora
Juu na chini Ma-Miss katika picha
Wabongo waliofika kumuunga mkono Miss Tanzania na Hafsa Kazinja
Mtu nyomi
Ma-miss wakicheza huku wadau wakipata picha za hapa na pale.
Mtu kibao
Ma-Miss wakila Rhumba
Rhumba likiendelea
Ma-Miss hao wakiburudika taratibu
Rhumba likiendelea wengine wa kipozi kwa picha
Dancing Floor hapatoshi
Dj Chic akipagawisha Ma-Miss
Juu na chini Ma-Miss na wadau wao wakiendelea kula rhumba.
Mpwa na Triple S wakipata ukodak moment
Juu na chini wadau na Ma-Miss katika picha za kumbukumbu
Juu na chini show ya wanamuziki ikiendela.
Ma-Miss katika picha ya pamoja wengine wakiwa na mashabiki wao
Juu na chini Ma-Miss wakipita zuria jekundu
Juu na chini Ma- Miss katika picha ya pamoja na picha nyingine wakiwa na mashabiki wao
Juu na chini Wadau na Ma- Miss katika picha

1 comment:

Unknown said...

Great Event indeed! Lady K did it! We're proud of her for making this history... Chima Movie Empire.