Sunday, December 23, 2012

MSICHANA MREFU DUNIANI

Lovers
Juu na chini ni Elisany Da Cruz Silva,17, msichana Mbrazili mwenye urefu wa 6ft 8in akiwa na rafiki yake wa kiume Francinaldo da Silva Carvalho, 22, mwenye urefu wa 5ft 4in ufukweni, Elisany amemzidi urefu mchezaji wa Stoke City Peter Crouch kwa 1in
Elisany da Cruz Silva
Elisany da Cruz Silva & family

No comments: