ANGALIA LIVE NEWS

Monday, December 10, 2012

Mwakilishi wa Jimbo la Mji Mkongwe Ismail Jussa Ladhu amzika mama yake

Mwakilishi wa Jimbo la Mji Mkongwe Ismail Jussa Ladhu, akichota mchanga kuweka katika kaburi la mama yake marehemu Bi. Zaynab Suleiman mazishi yaliofanyika jana kwenye makaburi ya Mwanakwerekwe. Mazishi hayo yamehudhuriwa na viongozi mbali mbali wakiwemo Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad na Mwenyekiti wa CUF, Prof. Ibrahim Lipumba.Mwenyeenzi Mungu ampe malazi mema na awape subra akina Jussa na ndugu zake inshallah

No comments: