ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, December 27, 2012

RAIS OBAMA ALA XMASS NA WANAJESHI WAKE HAWAII

President Barack Obama greets military personnel eating Christmas Dinner at the Marine Corps Base Hawaii in Kaneohe Bay, Hawaii. The president and his family spent the Christmas holiday in Hawaii, Obama's birthplace.
Rais Barack Obama akiwa na wanajeshi wake siku ya Xmas alipowatembelea kwenye kambi ya Hawaii na kula nao chakula cha jioni na familia zao.
President Barack Obama and First Lady Michelle Obama talk with members of the military and their families during Christmas dinner at the Marine Corps Base in Hawaii.
Rais Back Obama pamoja na mkewe Michelle Obama wakiwa kwenye kambi ya jeshi, Hawaii wakati Rais huyo wa arekani alipowatembelea wanajeshi wake na familia zao wakati wa sikukuu ya Xmas na kula nao chakula cha jioni.
President Barack Obama speaks as he visits with members of the military and their families at the Marine Corp Base in Hawaii.
Rais Barack Obama akiongea jambo na wanajeshi wake na kuwatakia kheri ya Xmas wakati alipokutana nao na familia zao siku ya Christmas kwenye kambi ya jeshi Hawaii na kula nao chakula cha jioni.
President Obama visits with members of the military and their families on Christmas at the Marine Corp Base in Hawaii.
Rais Barack Obama akiwachekesha wanajeshi wake wakati alipokutana nao na familia zao wakati wa sikukuu ya Xmas nakula nao chakula cha jioni
President Barack Obama and First Lady Michelle Obama greet military personnel eating Christmas Dinner at the Marine Corps Base in Hawaii.
Rais Barack Obama na mkewe Michelle Obama wakiwasalimia wafanyakazi wa jeshi kambi ya Hawaii walipokua amewatembelea wakati wa sikukuu ya Xmas na kula nao chakula cha jioni
President Barack Obama talks with members of the military and their families during Christmas dinner at the Marine Corps Base in Hawaii.
Rais wa Marekani akiongea na wanajeshi wake kwenye kambi ya jeshi iliyopo Hawaii alipokutana nao na familia zao wakati wa sikukuu ya Xmas na kula nao chakula cha jioni. 

(Picha kwa hisani ya US News)

No comments: