Advertisements

Monday, December 3, 2012

RODGERS EXPORTS LLC


Rodgers Exports inawatangazia watanzania na marafiki wote, kuwasili kwa contena katika bandari ya
zanzibar, kwa watu wote waliotuma mizigo september-30 mizigoyao imewasili december-3 katika banbdari
ya zanzibar, hivi sasa tunafanya utaratibu wa castoms na (TRA), kila mtu akae tayari kwa kupokea mzigo wake, wakati wowote kuanzia december 12 na kuendelea.
  • Please everyone remain patient until you receive a phone call for pick up and please inform family members in Dar es Salaam Tanzania.
  • Also our next container is scheduled to leave the USA to TANZANIA on January 30, 2013. 
  • For more information please contact Haji at 919-672-6063 or go to our website at WWW.RODGERSEXPORTS.COM 
HAJI ABDULLA
OWNER/FOUNDER OF RODGERS EXPORTS LLC

No comments: