David Kassiane wa New York.
David Kassiane C.E.O wa Dreamzworks Entertainment Company,
antoa salamu za mwakampya kwa watanzania duniani kote ujumbe wake katika salamu hizi ni mwaka mpya 2013 uwe na amani na upendo. Dreams Records ni company yake Mr David mwenye makazi yake New York na company yake ina fanya kazi zake nchini Tanzania. Company hiyo imejizolea umaarufu kwa kipindi kifupi sana kwa kuibua vipaji wa vya wasanihi chipukizi na kwa gharama nafuu nchini Tanzania.Company hiyo ujiusisha na utengenezaji wa video, kurecord music na mambo mbali mbali yanayo usiana na media. Dreamzworks New York City Officewww.dreamzworks.com
No comments:
Post a Comment