Watanzania Columbus, Ohio walisherehekea Uhuru wa Tanganyika kutimiza miaka 51 Jumamosi December 8, 2012 usiku kwenye ukumbi wa Columbus Square uliopo Columbus, Ohio nchini Marekani na baadhi ya Wabongo kuvaa rangi ya bendera ya Tanzania
Mpwa akipata ukodak na Mdau aliyevaa jeshi ya Taifa Stars kuashiria mapenzi na Tanzania kwenye sharehe ya Uhuru wa Tanzania Bara kutimiza miaka 51 iliyofanyika Columbus Square Miji Columbus, maarufu kwa jina la Buckeye State.
Wadau wa Columbus katika picha ya pamoja kutoka kushoto ni Bidan, Emmanuel na Jackson
Watanzania waliofika Columbus Square kwenye sherehe ya Uhuru wa Tanzania Bara kutimiza miaka 51 katika picha ya pamoja.
Walimbwende wakimeremeta katika picha ya pamoja kwenye ukumbi wa Columbus, Square walipojumuika kusherehekea miaka 51 ya Uhuru wa Tanzania Bara.
Watanzania wa Columbus, Ohio waliojumuika pamoja kusherehekea Uhuru wa Tanzania Bara kutimiza miaka 51 ndani ya ukumbi wa Columbus Square wakipata picha ya pamoja.
Walimbwende wa Buckeye State katika picha ya pamoja
Danny katika ukodak moment mdami ya Columbus Square
Miss Kigoma katika picha
Wadau wa Columbus katika picha ya pamoja walipojumuika na Watanzania wa Columbus
Watanzania wa Columbus, Ohio waliojumuika pamoja kwenye ukumbi wa Columbus, Square kusherehekea miaka 51 ya Uhuru wa Tanzania Bara.
Kwa picha zaidi bofya read more
No comments:
Post a Comment