Advertisements

Sunday, December 2, 2012

Surprise Birthday ya Lau Kyariga, Minnesota

Lau Kyariga (KATI) akipigwa na butwaa na kubaki kinywa wazi pale alipofanyiwa surprise birthday na Caroline akishirikiana na mume wake January Mwita nyumbani kwa kulwa na Dotto yeye alifikiri anawapeleka wadau kwenye party kumbe ni party yake mwenyewe
Lau Kyariga (kati) akiwa amebaki hajui la kufanya huku akiwa ameshikiriwa na asije akafanya maamuzi ya kuondoka
Lau Kyariga akizima mshumaa kwenye surprise birthaday yake iliyofanyika Dececmber 1, 2012 Minnesota nyumbani kwa Kulwa na Dotto.
Jamaa na marafiki wakisherehekea surprise birthday pamoja na Lau Kyariga.
Lau Kyariga Birthday Girl akiwa amekaa akipata picha ya pamoja na ndugu waliokuwepo kwenye surprise borthday yake.
Birthday Girl katika picha ya pamoja jamaa na marafiki
ni wakati wa kupata picha na birthday girl.
Birthday girl akiendelea kupata ukodak moment.
Kwa picha zaidi bofya read more


No comments: