Wednesday, December 26, 2012

Taarifa ya msiba (north Carolina)

Familia ya Dr. Mathias B Materu Inasikitika kuwataarifu kwamba baba yao mpendwa Dr.Mathias B. Materu ameitwa na bwana siku ya jumamosi tarehe 12/15/12 katika hospitali ya Rex mjini Raleigh in North Carolina. Mipango ya kuusafirisha mwili wake kwenda nyumbani Moshi,Tanzania inafanyika nyumbani kwake Raleigh. 

Katika kipindi hiki kigumu tunawaomba ndugu jamaa na marafiki mtusaidie ili tuweze kufanikisha kumfikisha mzee wetu nyumbani kwa mapumziko ya milele. 

Michango ya hali na mali inapokelewa kwa kutumia account maalumu kwenye benki ya State Employees’  Credit Union ,Raleigh Account # 60726386 au online at https://bidiimateru.chipin.com/mathias-bernard-materu , vilevile unaweza ukawasiliana na watu wafuatao
Pendo Materu  919-815-4596
Prof.Peter Materu,  202-744-7019
Florian materu 614-446-8921
Paul Materu 614-596-1448

Tunashukuru sana kwa msaada wako, Bwana alitoa bwana ametwaa jina la litukuzwe!!!

No comments: