Wachezaji wakielekea sehemu ya kutokea baada ya kuwasili uwanja wa ndege wa Antalya na wataelekea katika hotel ya Fame Residence.
Antalya Airport tayari kwa safari ya kwenda hotelin
@Meeting at Fema Residence
Ernest Brandts & Mohamed Nyege
Meneja wa timu Hafidh Saleh akiongea na wachezaji wakati cha chakula cha udsiku
No comments:
Post a Comment